Thursday, October 8, 2009

The Danger of a Single StoryWe featured her in this blog last year. She continues to be an inspiration. Listen in.

1 comment:

Edgar said...

Kuna wakati inabidi tukubali kustahimili matusi ya hawa watu wa magharibi sababu kweli sisi wenyewe tukiangalia kwa karibu hali zetu hasa kuanzia miaka ya baada ya uhuru -- BADO KAMA JAMII, HATUJAONYESHA KWAMBA TUNASTAHILI HESHIMA. Tuna magunia na magunia ya excuses (January M kama mtanzania mzalendo natambua ujumla wa hii hali unamuumiza kichwa -- msomaji kumbuka post zake za nyuma za 'whats your solution?"

Wamarekani hasa kweli hawatuheshimu. Na hata wakija nyumbani, kimaendeleo kwa kulinganisha na huku kwao, tuko light years nyuma. Tunaweza kwenda kasi nzuri tukijipanga vizuri kiuongozi -- na siongelei vyama vya siasa hapa. Na hapo ndipo kazi kubwa ilipo. Vinginevyo miaka 400 mbeleni Afrika bado tutafuata nyuma nyuma tu.

Hatuna sababu ya kukata tamaa lakini nafasi bado tunazo.

January, huwa najiuliza hivi: Hivi unajipanga vizuri kuchukua nafasi muhimu ya uongozi na wewe mwenyewe kuwa na maamuzi na ukachukua resposibility za maamuzi yako????? Watanzania wengi hasa vijana tunakuheshimu kwa brain uliyonazo (na wewe hopefuly unatambua hivyo). Sasa wewe ukiwa mwenye maamuzi kuhusu masuala mbali mbali tunayolalamikia kila siku hapa kwako; na wewe utatupia mpira wafadhili, na IMF, WB na hizo blah blah nyingine au utakuwa na uongozi unaoruhusu mambo makubwa ya kimsingi kufanyika?? Tupe sneak peak ya uongozi wa JM:::